Tena manzi za chuga ndio balaa kabisa,sasa kuna klabu moja ya muziki inaitwa Babylon hapo chuga kuna mzaramo mmoja alitoka bongo anapenda starehe mbaya si akazama club Mara DJ akanza kusema mikono juu mikono juu mzaramo si akanogewa anacheza nakidemu huku akiruka zile za ungalelo kuja kujisachi hana hata shilingi akumi zimepitiwaa na mamanzi wa chugakuna ukweli hapa, hata manzi za chuga wako ivo.
cc: joseverest
[emoji2] [emoji2] mademu wa mikoani bhana. Hapo kajiona mjanja kinoma wakati wenzao wa dar hawasubiri dj aseme mikono juu na kamwe wewe mtoto wa mkoani hautojua uliibiwa vp. Huku dar unatengenezewa mazingira ya kutoa haina haja ya kutumia nguvu yote hiyo.Tena manzi za chuga ndio balaa kabisa,sasa kuna klabu moja ya muziki inaitwa Babylon hapo chuga kuna mzaramo mmoja alitoka bongo anapenda starehe mbaya si akazama club Mara DJ akanza kusema mikono juu mikono juu mzaramo si akanogewa anacheza nakidemu huku akiruka zile za ungalelo kuja kujisachi hana hata shilingi akumi zimepitiwaa na mamanzi wa chuga
MmhAina kwere arifuu ila chuga kama Jamaica ni mafekechenism to kwa fasi ya dwasi..yechu yechu..