Tena manzi za chuga ndio balaa kabisa,sasa kuna klabu moja ya muziki inaitwa Babylon hapo chuga kuna mzaramo mmoja alitoka bongo anapenda starehe mbaya si akazama club Mara DJ akanza kusema mikono juu mikono juu mzaramo si akanogewa anacheza nakidemu huku akiruka zile za ungalelo kuja kujisachi hana hata shilingi akumi zimepitiwaa na mamanzi wa chugakuna ukweli hapa, hata manzi za chuga wako ivo.
cc: joseverest