hata mimi niko hivo hivo
uhue status yangu iko flexible
hii mi nimeshaitumia simu imeingia kwenye maji.duh we mkaliwengi tuu mchana mnapatikana usiku simu hazina sauti ooh simu imedumbukia kwenye maji bafuni loh
kupewa namba unahangaika mchana kutwa usiku kucha kumtafuta daaaah...........huyo mwanamke nae wa .com
wanaume wa .com_wanawake nao wa .com...yaaani ni full vigeu geu
sio kweli....