hata mimi niko hivo hivo
Ushanitoa kwenye kundi nini
Maana naona wapinzani wako wengi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mimi niko hivo hivo
uhue status yangu iko flexible
hii mi nimeshaitumia simu imeingia kwenye maji.duh we mkaliwengi tuu mchana mnapatikana usiku simu hazina sauti ooh simu imedumbukia kwenye maji bafuni loh
kupewa namba unahangaika mchana kutwa usiku kucha kumtafuta daaaah...........huyo mwanamke nae wa .com
wanaume wa .com_wanawake nao wa .com...yaaani ni full vigeu geu
sio kweli....