Ni "beer" na sio "bear". Harafu hamna utafauti hapo. labda muhudumu tu ndo ataenda trip nyingi za kuleta hizo beer.
Jaman sehemu zote za starehe nilizopita Dar wanaume wote wa Dar wanakunywa vibia vidogo dogo vya 1500.
Kama vile serengeti lite ,serengeti ndogo ,safar ndogo,kilimanjaro ndogo ,castel lager ndogo .
Wengine sasa wanakunywa savvana ,dompo, castel lite.
Wanaume wa dar mkija mikoani mtaweza bear zetu.
Bia za mikoani ni Balimi,Senetar na castel lager kubwa bila kusahau mizinga ya konyagi .
Wanaume wa dar hawana tofaut na dada zao .
Wazalishaji wa bia wakiona hii comment yako wanacheka kweli kimya kimya!Japo mimi sio wa dar ila kwa sasa tunapima unapata mls ngapi na kwa bei gani, nikinunua kubwa naona wananipunja.
Aisee.Japo mimi sio wa dar ila kwa sasa tunapima unapata mls ngapi na kwa bei gani, nikinunua kubwa naona wananipunja.
Hapana ndugu watu tunaishi kwa mahesabu nipo sahihi kabisa. Ngoja nikupe ukokotozi wangu kidogo.Wazalishaji wa bia wakiona hii comment yako wanacheka kweli kimya kimya!
Kimsingi, bia ndogo unapunjwa!
ni "halafu" na sio "harafu"...Ni "beer" na sio "bear". Harafu hamna utafauti hapo. labda muhudumu tu ndo ataenda trip nyingi za kuleta hizo beer.