Tatizo watu wa mikoani mmezoea quantity na sio quality alafu ndio mnaotuambukiza mapombe ya ajabu ajabu ajabu. Wenye viwanda wametengeza beer kulinga na ulevi wa mikoa yenu. Angalia Mbeya mlivyojaziwa Bingwa. Ni kwa sababu mapombe ya Zambia yalikuwa yanawaaribu vichwa. Wasukuma ndio ndio mmetuletea balaa la Balimi. Msijaribi kutusogezea Eagle kama mlivyofanya kutuletea Plisner ambayo ukinywa mate yanajaa mdomoni. Ndugu zangu wachaga na Eagle dark zenu sasa. Duuh.
Tuacheni bwana tunywe kibosi. Beer yako ndogo, Glass kubwa ukimimina beer inaisha yote then unakunywa kiistaarabu.
Ila shikamoo Serengeti Lite, ulichomfanyia Castle lite sio poa kabisa. Umempoteza vibaya sana