Wanaume wa Dar acheni tabia ya kunywa beer ndogo ndogo

Wewe unamsahihisha mtu kiingereza wakati wewe mwenyewe kiswahili hujui kuandika: sio harafu ni halafu. Naona unatokea ile mikoa yenye shida ya r na l.
Kuna mtu keshasahihisha hapo juu. unatujazia seva
 
Watu wa porini washamba sana,ipo siku watakuambia wanaume wa dar acheni kutumia misimu mikubwa na ya gharama tumieni tecno y3 kama wa porini
 
Watu wa porini washamba sana,ipo siku watakuambia wanaume wa dar acheni kutumia misimu mikubwa na ya gharama tumieni tecno y3 kama wa porini
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wanaume wa dar mna kasoro kibao
 
Ndovu pombe bwana!...Nilijaribu kipindi flani Jebel lakini madry gin sio mchezo grease yote inakauka!..
 
Tatizo watu wa mikoani mmezoea quantity na sio quality alafu ndio mnaotuambukiza mapombe ya ajabu ajabu ajabu. Wenye viwanda wametengeza beer kulinga na ulevi wa mikoa yenu. Angalia Mbeya mlivyojaziwa Bingwa. Ni kwa sababu mapombe ya Zambia yalikuwa yanawaaribu vichwa. Wasukuma ndio ndio mmetuletea balaa la Balimi. Msijaribi kutusogezea Eagle kama mlivyofanya kutuletea Plisner ambayo ukinywa mate yanajaa mdomoni. Ndugu zangu wachaga na Eagle dark zenu sasa. Duuh.
Tuacheni bwana tunywe kibosi. Beer yako ndogo, Glass kubwa ukimimina beer inaisha yote then unakunywa kiistaarabu.
Ila shikamoo Serengeti Lite, ulichomfanyia Castle lite sio poa kabisa. Umempoteza vibaya sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wa mikoani tunajulikana tunakunywa bia ndo maana dar huwez kuta plisner wala egle[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Sisi huku tunakunywa spirit ili iondoe baridi damuni . Alchool ni 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…