Wanaume wa Dar acheni tabia ya kunywa beer ndogo ndogo

Wanaume wengi wa dar asilimia kuwa wanamagari hivyo hawana tabia ya kuzikomoa pombe maana kunywa alafu wanaendesha gari
Daladala zinajaa,mwendo kasi unajaa,treni ya mwakyembe inajaa. Hayo magari yako wapi.
 
Ukiwapigia simu wanakuja na magari ya kuazima wakishakunywa beer NNE wanakupiga mzinga wa ten. Wahuni wengi
 
Kwa nini wa mikoani mnakuwa na miwowo kuliko dada zenu na mkija Dar mnageuzwa vyakla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…