ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Nyama kg4@12000=48000150,000 mliitumia kwa masaa mangapi?
Wa-tanga tena mdebwedooo kinooomaMi nahamia Tanga hivi karibuni,nimechoka mitusi,looh
150?
Umri Namba tu mkuu af sio lazima niwe mkweli kwenye umri!Tatizo umri wako bado mdogo sana. Miaka 29 unaona sifa kuua maini yako ili uonekane mbobezi wa pombe. Wenzio wana kunywa lite beer sababu ya kupunguza matatizo ya maini pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamkwenda sehemu nyingine zaidi ya kula kitimoto? Nahisi sasa hivi pesa imeisha mpo safarini kurudi mkoaniNyama kg4@12000=48000
Konyagi zote 42000
Sawa na 90000 tu!
Ukumbuke kila mtu alikua na 150000*2=?
young kilimanjaro
Liambie hilo usikute linaidharau hiyo laki na nusu kumbe hapo halina hata uhakika wa kula Leo, nasikia linaishi kwa shemeji yake Dar...Aaah!! We nae mshamba wa kiwango cha kina kitefu..sasa ulitaka tuje na milioni kwani ulisikia tulikuja kununua kiwanja!!?
young kilimanjaro
We nae vipi?? unawajua watu wote wa jf??Umekosea njia, umeenda Gongo la Mboto , Uwanja wa Fisi au Manzese kwa mfuga Mbwa?
Hivyo si viwanja vya mtu wa hadhi ya JF!
Ole wako kama hutapata kipundupindu jijini hapa kwa kufamakia rosti za vibudu vya Vingunguti!!
Tulipizungusha laki3 kama siku mbili ya tatu tukarudi zetu om kupalilia miogo yetu.Kwa hiyo party yako ikaishia hapo !
ukarudi kijijini kulima?
Wabeba mabox....Nimefungua kuna watu wa aina mbili waochukiwa kwenye hii forum,wanaume wa Dar na diaspora (USA)haipiti mwezi bila kuwakashifu
Hahahaa tena ndio hatari..wazee wa urojo
Hapo umenena yaan wauze mihogo, wajichange, wauze kuku then waje town kutumia hizo 150k za manung'uniko then wanajiona wajaanja.Viwanja vya maana bajeti ndogo 1M, sasa 150K unawapigia kelele Kaka zangu hapa, wewe Jamaa waombe msamaha.
Kwa usawa wa magufuri 150k ni sawa na 2M kwa enzi za kikwete mamaeeViwanja vya maana bajeti ndogo 1M, sasa 150K unawapigia kelele Kaka zangu hapa, wewe Jamaa waombe msamaha.
Mkuu nimeona niwalegezee maana wangesoma kichwa cha uzi na kukimbiaHuyu anatafuta umaarufu kupitia watu wa Dar, huyu jamaa atakuwa msukuma, wanadhani ni zamu yao kwa kila kitu