Wanaume wa Dar acheni ushamba kwani kipi cha ajabu hapa?

Wanaume wa Dar acheni ushamba kwani kipi cha ajabu hapa?

Huyu anatafuta umaarufu kupitia watu wa Dar, huyu jamaa atakuwa msukuma, wanadhani ni zamu yao kwa kila kitu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tatizo umri wako bado mdogo sana. Miaka 29 unaona sifa kuua maini yako ili uonekane mbobezi wa pombe. Wenzio wana kunywa lite beer sababu ya kupunguza matatizo ya maini pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umri Namba tu mkuu af sio lazima niwe mkweli kwenye umri!
Acha kupagawa kama wenzio wale

young kilimanjaro
 
Umekosea njia, umeenda Gongo la Mboto , Uwanja wa Fisi au Manzese kwa mfuga Mbwa?
Hivyo si viwanja vya mtu wa hadhi ya JF!
Ole wako kama hutapata kipundupindu jijini hapa kwa kufamakia rosti za vibudu vya Vingunguti!!
We nae vipi?? unawajua watu wote wa jf??
acha kututusi watu wa vingunguti na manzese.... jibu mashambulizi hayo sio unakimbilia ku attack mitaa.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom