Wanaume wa Dar acheni ushamba kwani kipi cha ajabu hapa?

Hela inauzwa fafanua kidogo hapo

Mi najua hapo hamna mashamba ndo maana hawaezi kuwa na chakula cha kutosha kama sisi wa mkoani
 
daaah nimejaribu kuvuta picha ya kile ki harufu mwanana cha roast ya noah mpaka udenda umenitoka kusema kweli
 
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Yaaan kujimek kooote kumbe bajet ni 150k duuuh!!?
Yaan nkibakiwa na hyo pesa natulia zng tu hom maana hata confidence huwa inapungua
Tena na silver zilibaki..umekariri kila kitu kina bei huko kijijini kwenu?

young kilimanjaro
 
Hela inauzwa fafanua kidogo hapo

Mi najua hapo hamna mashamba ndo maana hawaezi kuwa na chakula cha kutosha kama sisi wa mkoani
Lol.... hujawahi kusikia biashara ya chenji?? vijana wanawauzia makondakta chenji.

Na nyie hivyo vyakula bila kuja kuuza huku mtapata wapi pesa??? na mbona nguo za kununua mnakuja huku pia.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] this story tho..
Uuuuwih. My ribs oooomooo
 
150K Yani Umejipanga Toka January Mpaka Leo Na Hapo Umejipinda Kweliii But Muda Huu Mpo Kwenye Ndinga Kurudi Kolomije Mmekula Urefu Wa Kamba Yenu Dar Kubwa Karibuni Tena Muinue Uchumi Wa Dada Zetu ....
★★ "BONVOYAGE★★

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jela ndugu yangu utapewa hivyo vyote na nyapala
 
Kununua nguo dar ulikuwa zamani sana kwa sasa wafanya biashara wa mikoani wanaenda Dubai na ndo wanatuletea huku ukikuta mfanya biashara anakuja kujumua mzigo dar ujue hiyo bado hana mtaji wa uhakika
 
Mkuu soma huelewe basiii..! Hyo tuliisaka kwa mda Wa kamwezi tu tena hyo 150k ni sehemu tu ya tulioipata na ujue kila mtu alikua na 150 yake

young kilimanjaro
 
Kununua nguo dar ulikuwa zamani sana kwa sasa wafanya biashara wa mikoani wanaenda Dubai na ndo wanatuletea huku ukikuta mfanya biashara anakuja kujumua mzigo dar ujue hiyo bado hana mtaji wa uhakika
Lol..... itakua unazungumzia wa morogoro ila poa bro kubali kataa Dar ndio mambo yote... unaona vile vijana wanajichanga jus kuja kuiona dar wanaridhika.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Tatizo vjamaaa vya dar vinajifanyaga kila kitu vinajuaa,,,,kmbee holaa tu,,,,soma status utajua nmnsha nini

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…