Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Hela inauzwa fafanua kidogo hapoSasa bro, maisha kua juu na ushamba mbona ni vitu viwili tofauti??? lol
kumbuka Dar hakuna mashamba ndio maana kila kitu wananunua ila usisahau pia hapa mjini ukilala na njaa umependa coz hadi hela inauzwa... hahahaha
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Mi najua hapo hamna mashamba ndo maana hawaezi kuwa na chakula cha kutosha kama sisi wa mkoani