Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Tena umeshaniongezea jambo jingine la kufanyia Utafiti, Hilo la kudaiwa kuwa "Kasi ya Wanaume wa Dar kutatuliwa Malinda nayo imeongezeka ".kwani umesikia wanaume wa daa wanapenda mitaro???
em fwata kilichokuleta ....
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tena umeshaniongezea jambo jingine la kufanyia Utafiti, Hilo la kudaiwa kuwa "Kasi ya Wanaume wa Dar kutatuliwa Malinda nayo imeongezeka ".
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina noma Mkuu.Karipoti kwa Mkuu wa mkoa kwanza.
Yeye atakupa hali halisi ya mambo hayo yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujanja upi huo, ikiwa panya tu anaogopwa km nini sijui.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SAWA we fanya tafiti zako, kumbuka upo jiji la wajanja usije kkugeuzwa sampo spesi tu.
Weweeee!!!!,haya ni maji marefu, hayapimwi kwa mguu.Pale mtafiti anapofanyiwa yeye utafiti...hutoamini
Kha!kha!kha.Chaula rudi kwenu Njombe ukalewe ulanzi. Nyie mabingwa wa ulozi. Vipi umekuja kwa mteja wako nini?
Si tupo humu jukwaani,hamna shida....Weweeee!!!!,haya ni maji marefu, hayapimwi kwa mguu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani umesikia wanaume wa daa wanapenda mitaro???
em fwata kilichokuleta ....
Sema hii ni jina tu, huwa zinatofautiana sehemu na sehemu... Rejea Kiswahili drs la 6.
kwani umesikia wanaume wa daa wanapenda mitaro???
em fwata kilichokuleta ....
Sasa performance utaipimaje.. Au unataka kugawa linda [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi mwenyewe nimeshangaa juu ya hilo jambo la kupima uwezo wa wanaume wenzakeUkizibuliwa mitaro uende cherekochereko ya tbc ukatoe ushuhuda