Wanaume wa Dar, Hodiiii.....!!!!.

Wanaume wa Dar, Hodiiii.....!!!!.

Vyote ulivovitaja vinatoka mikoani.kuanzia wanawake,ng'ombe na viazi mpaka ndizi.asa sijui unaongelea kitu gani thatha!!!!unaandika kiuwoga woga kama nakudai figo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo siyo hoja, ishu ni hii, "Kwanini Wanaume wa Dar mmeshindwa kuzingatia Matumizi??? ".Matharani Kuna watoto wazuri wa kike ambao Ninyi mnawatazama tu!!!, Viazi vinatoka Mikoani, sawa!!!, Lkn Kwanini ufakamie Machips na Manyama choma bila Utaratibu??. Huko si kutafuta lawama kwa Watoto wa kike kweli?!!!. Nakwambia Vijana wa Kutoka Mikoani tutawatafuna Sana Hao Wanawake wenu,maana Mmezidi kuwa wazembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!! Mkuu ww ni me ama ni ke!! Km ni me unatakaje kufanya utafiti juu ya perfomance ya me mwenzio kunako sita kwa sita isije kuwa nawe ukawa tekno thate thirii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi wanaojinyonga sio wa Iringa tu. Hata Makabila mengine wanajinyonga pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuja na hii kitu maana mmezindua kiwanda. Umewaletea dada zako
tapatalk_1555497915178.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!! Mkuu ww ni me ama ni ke!! Km ni me unatakaje kufanya utafiti juu ya perfomance ya me mwenzio kunako sita kwa sita isije kuwa nawe ukawa tekno thate thirii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wenzangu Kutoka Dar, mnatia aibu sana ,Ninyi ndo mmesababisha Wanawake watudharau Wanaume, sasa lengo hapa ni kutafiti kujua Shida Iko wapi, kisha nitawapa Ushauri unaolenga kutibu tatizo hilo. Dar kuna Watoto Wengi wazuri, Lkn mmeshindwa kuwatendea haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimeingia Jijini Dasalam, I'm interested kuwaona hawa Wanaoitwa "Wanaume wa Dar ".Ninataka kufanya Utafiti kujua Ukweli wa tuhuma wanazopewa km vile Uoga, Performance ndogo kwenye ule Utaratibu wetu, n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Happy kwenye performance ndio tunapataka uje tukutindue

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Kweli nimeamin asili ya neno chaula n baada ya mkinga kushindwa kuita "cheulo,badala yake akaita chaula.mpaka leo akina chaulo mpo na akili ile ile..kwenu si ndio kumezidi maambukizi ya "mdundiko"kwa ubahiri wenu wa kununua "plastic zenye fleva".Mathayo 7:5.....
Hiyo siyo hoja, ishu ni hii, "Kwanini Wanaume wa Dar mmeshindwa kuzingatia Matumizi??? ".Matharani Kuna watoto wazuri wa kike ambao Ninyi mnawatazama tu!!!, Viazi vinatoka Mikoani, sawa!!!, Lkn Kwanini ufakamie Machips na Manyama choma bila Utaratibu??. Huko si kutafuta lawama kwa Watoto wa kike kweli?!!!. Nakwambia Vijana wa Kutoka Mikoani tutawatafuna Sana Hao Wanawake wenu,maana Mmezidi kuwa wazembe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lugha yako imebadirika tayareeeeee,dar hoyeeee.malinda hoyeeee,gegedwa hoyeee,wanaume wa dar hoyeeeee.ukirudi njombe waambie ukweli,usiwafiche ili wakija wapande mabasi yanayowahi kufika mapema.

Back
Top Bottom