Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Tunasubiri alete mrejesho
mimi mwenyewe nimeshangaa juu ya hilo jambo la kupima uwezo wa wanaume wenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi mwenyewe nimeshangaa juu ya hilo jambo la kupima uwezo wa wanaume wenzake
Nakuja kuwafanyia Utafiti, kwa kuwapima km napima tezi dume hivi.mimi mwenyewe nimeshangaa juu ya hilo jambo la kupima uwezo wa wanaume wenzake
Yaani nadhani anataka kugawa Linda huyuSasa performance utaipimaje.. Au unataka kugawa linda [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuja kuwapima oil kwa kumtumia dole gumba. Nitaanza na wewe .Yaani nadhani anataka kugawa Linda huyu
God save us
Nishaanza kupata data za Utafiti wangu, Yaani "Wanaume wa Dar ",mbona wavivu sana,why?.yaani asubuhi mapema watu wamejazana vijiweni kupiga stori, kazi zinafanywa saa ngapi?. Kwa hali hii wacha maisha yaendelee kuwa magumu tu.Tunasubiri alete mrejesho
Endelea kufuatilia maisha ya watu. Mwanaume wewe.Nishaanza kupata data za Utafiti wangu, Yaani "Wanaume wa Dar ",mbona wavivu sana,why?.yaani asubuhi mapema watu wamejazana vijiweni kupiga stori, kazi zinafanywa saa ngapi?. Kwa hali hii wacha maisha yaendelee kuwa magumu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaa!!!, Ni kwaajili ya kulikomboa Taifa. Kwasababu Taifa linaangamia.Endelea kufuatilia maisha ya watu. Mwanaume wewe.
Actually ni kutaka kujua je lawama hizo ni Kweli, na nini sababu, halafu namna ya kuwasaidia ili waweze kuwa Wanaume Lijali km tulivyo sisi Vidume vya Mikoani.mimi mwenyewe nimeshangaa juu ya hilo jambo la kupima uwezo wa wanaume wenzake
Kuna viashiria vya nje, mfano Ulaji hovyo wa vyakula, ni ishara kuwa mhusika anajimaliza Mwenyewe, Kukaa muda mrefu bila kazi au mazoezi, Manyama Uzembe, n.k.Sasa performance utaipimaje.. Au unataka kugawa linda [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio wa dar ila ulichemsha. Utajuaje ufanisi wa mwanaume mwenzako asipo kukufukunyua?
Kwa kutumia viashiria vya nje.Mimi sio wa dar ila ulichemsha. Utajuaje ufanisi wa mwanaume mwenzako asipo kukufukunyua?
God save us
Leo nimeingia Jijini Dasalam, I'm interested kuwaona hawa Wanaoitwa "Wanaume wa Dar ".Ninataka kufanya Utafiti kujua Ukweli wa tuhuma wanazopewa km vile Uoga, Performance ndogo kwenye ule Utaratibu wetu, n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutu yako!!!!.Mimi nitabaki kuwa Mwanaume Lijali wa mkoani. Yaani watoto wazuri wa Dar ninyi mnawaacha tu!!, kwa Kweli hamuwatendei haki dada zetu. Mnakula Sana Machips, Manyama choma,n.k.Ayaaaaa umeingia dar tayar,wewe n mwanaume wa dar.kwa sababu unatafiti kiuwoga woga
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutu yako!!!!.Mimi nitabaki kuwa Mwanaume Lijali wa mkoani. Yaani watoto wazuri wa Dar ninyi mnawaacha tu!!, kwa Kweli hamuwatendei haki dada zetu. Mnakula Sana Machips, Manyama choma,n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini wasije kukupaka vilainishiLeo nimeingia Jijini Dasalam, I'm interested kuwaona hawa Wanaoitwa "Wanaume wa Dar ".Ninataka kufanya Utafiti kujua Ukweli wa tuhuma wanazopewa km vile Uoga, Performance ndogo kwenye ule Utaratibu wetu, n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chaula rudi kwenu Njombe ukalewe ulanzi. Nyie mabingwa wa ulozi. Vipi umekuja kwa mteja wako nini?
Sasa performance utaipimaje.. Au unataka kugawa linda [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app