Wanaume wa Dar, Hodiiii.....!!!!.

Endelea kufuatilia maisha ya watu. Mwanaume wewe.
 
Vyote ulivovitaja vinatoka mikoani.kuanzia wanawake,ng'ombe na viazi mpaka ndizi.asa sijui unaongelea kitu gani thatha!!!!unaandika kiuwoga woga kama nakudai figo.
Thubutu yako!!!!.Mimi nitabaki kuwa Mwanaume Lijali wa mkoani. Yaani watoto wazuri wa Dar ninyi mnawaacha tu!!, kwa Kweli hamuwatendei haki dada zetu. Mnakula Sana Machips, Manyama choma,n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…