Wanaume wa dar kuchapwa makofi na mademu ni dalili mbaya sana hii

Usijali mkuu, ukiona mtu anamfuatilia mwanaume ujue ni mwanamke au shoga...

Hakuna mwanaume wa kweli anayemfuatilia mwanaume mwenzie... chunguza utaniambia mkuu...
Povuuu nyie wanaume wa dar si ndo zenu mkizidiwa akili mnakimbilia kwenye matus bashite kawazid akil mnamuita shoga, nyan ngabu aliwakusanya wote akawazid akil naye pia mkamuita shoga hizo ndo akili zenu finyu za kuolewa na kupigwa makof na wanawake
 
Sawa baby... usisahau kwenda saluni leo...
 
Wanaume wa Dar, a.k.a wazee wa kupigwa makofi, wazee wa chips mayai ya kisasa, wazee wa kubana suruali, WAZEE WA KUOLEWA...... Aibu,,,,hahahahaha
 
Naona umeamua kuwatafuta mademu wa kibongo kwa style ya kutupondaee
Umeumia!!
 
Wanaume wa Dar, a.k.a wazee wa kupigwa makofi, wazee wa chips mayai ya kisasa, wazee wa kubana suruali, WAZEE WA KUOLEWA...... Aibu,,,,hahahahaha
Washindia biskut
 
Usijali mkuu, ukiona mtu anamfuatilia mwanaume ujue ni mwanamke au shoga...

Hakuna mwanaume wa kweli anayemfuatilia mwanaume mwenzie... chunguza utaniambia mkuu...
Na ww ni mmojawapo wa wanaume wa dar[emoji15]
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Sio kwamba nina beef na wanaume wa dar hapana sina bifu nao kabisa lakin sema hawa jamaa wanatuabisha sana wanaume wa mikoan

Kwa sasa imefika hatua hawa watu wanaolewa na wanawake tena bila aibu kabisa mtoto wa kiume unaolewa na mwanamke? Hii ni kwa dar peke yake

Yule ostaz wa din ya kisilam ostaz uchebe ambaye ni mwanaume wa dar kuchapwa makofi hadhalan na shilole ni kitu kibaya sana hiki kwa wanaume wa dar

Wanaume wa dar badiliken bhana utaolewaje na mwanamke bhana

Sasa hii aibu ya kuchapwa makofi na wanawake waliowoa mtaificha wapi nyie

Pambanen muache kutegemea madem

LONDON BABY
Wewe ndiye uliyekua unatafuta ajira usalama wa taifa ?
 
Sijui huu mchezo wa kubatizana majina kama "wanaume wa Dar" na "wanaume wa mikoani" umechipukia wapi !
Ila kwa kifupi napenda kuamini kwamba sisi sote ni wanaume tuliozaliwa kwa njia moja.
Hakuna mwanaume wa Dar wala wa mkoani, maadam sote ni watanzania.
Ila huo mchezo sana sana unaonyesha ni jinsi gani watu walio wengi bado hawajajitambua na kutambua uhalisia wa maisha.

Tujitahidi kusoma na kujiengua kwenye huu mkumbo wa kijinga.

#wanaume_ni_wamoja
 
Beira, yawezekana mwenzetu wa kyela nini, maaana c kwa kukasirika huko(punga)
 
Ndio.

Na wewe ni mmojawapo wa shoga zake "baby" mleta mada?
Tulia ww sindano ikuingie,mkiambiwa ukweli basi mapovu yanawatokaaa aiseee kama vp embu achana na huyo mraya anaekulelea hapo
 
Back
Top Bottom