Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nishaenda mwenyewe....wewe lady Doctor Mungu anakuona!Kwa wale wanaume wa Dar mtakaoenda kupimwa tezi dume wekeni majina yenu hapa.
Kipimo cha tezi dume ni Ultrasound na kipimo cha damu kubwa.Kwa wale wanaume wa Dar mtakaoenda kupimwa tezi dume wekeni majina yenu hapa.
uje nyumbani kwangu unipime!Kwa wale wanaume wa Dar mtakaoenda kupimwa tezi dume wekeni majina yenu hapa.
Hujabakiza Ky kidogo umsaidie ndugu yako jingalao maana alikuwa anahaha kuisaka!!anasema yule doctor wake anaingiza Dole kavukavu bila hata glove!! PoleniMimi nishaenda mwenyewe....wewe lady Doctor Mungu anakuona!
Jamaa anataka wanaume wote wa Dsm wawe na misambwanda kama lile limsambwanda wakeKwa wale wanaume wa Dar mtakaoenda kupimwa tezi dume wekeni majina yenu hapa.
jamani nae Rc wenu anapenda maneno kaa, mala awe haikimu, mala police, mala sasa kawa doctor hata miiko ya ki doctor ameisahau nadhani lolKwa wale wanaume wa Dar mtakaoenda kupimwa tezi dume wekeni majina yenu hapa.
Da nasikia Kipimo ni cha kuingiziwa,poleni,sie tulitii amri ya mkuu kabla ya June 2017 ya kutaka wanaume wa dar turudi mikoani, nyie mkajifanya wabishi. Poleni!Kwa wale wanaume wa Dar mtakaoenda kupimwa tezi dume wekeni majina yenu hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibia nahama dar
mambo haya mi siyawezi kabisa
HatuendiWanaume wa dar mmepatikana jamani
Mnaendaje na wakati mnapimwa kila nyumba kilazima [emoji3][emoji3][emoji3]Hatuendi