Wanaume wa Dar mlio JF mtakao itikia wito wa rc

Wanaume wa Dar mlio JF mtakao itikia wito wa rc

IMG-20180422-WA0013.jpeg
 
Kwa wale wanaume wa Dar mtakaoenda kupimwa tezi dume wekeni majina yenu hapa.
Da nasikia Kipimo ni cha kuingiziwa,poleni,sie tulitii amri ya mkuu kabla ya June 2017 ya kutaka wanaume wa dar turudi mikoani, nyie mkajifanya wabishi. Poleni!
 
Atakaye isogelea nyumba yangu na midole yake atakuwa hajipendi maana ataenda kumsimulia mwenzie anayejifanya nanye ni nabii tito.Aliye mwambia dar wanaume wana tezi dume ni nani!Kama sio uchawi ni nini?kuwaombea wengine waumwe ni uchawi kwa mila za kiafrika na huyu mtoto ni mchawi mbaya kabisa dawa ya wachawi inajulikana we muache ajibinue kama kaoge tumuoneshe
 
  • Thanks
Reactions: a45
Back
Top Bottom