Wanaume wa Dar mnatia hasira

Wanaume wa Dar mnatia hasira

Kwa haya yanayoendelea itabidi nifunge safari nikaolewe mkoani...
Wanaume wa Dar me basi tena[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Watu wa mikoani ni watu wa ajabu sana,ngoja nikae kimya mana nna mengi sana juu yao,nikikumbuka siku ya kwanza kupanda gari naenda shinyanga sitasahau,lakini pia siku naenda kibosho moshi acheni tu.
 
Kwa haya yanayoendelea itabidi nifunge safari nikaolewe mkoani...
Wanaume wa Dar me basi tena[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Karibu mkoani dear!.....ila pleeeeeeeeease usiombe poo kwa sababu sisi huku show zetu ni za kibabe mno!....We play rough game like no body is business!!......papuchi ikiwaka moto usilete uzi wa mrejesho hapa please![emoji1] [emoji1]
 
Sidhani kama huyo ni mwanaume rijali
By the way shemeji yangu wewe ni mwanaume wa wapi?
Unauliza tena mimi ni mwanaume wa wapi jamani?......Ningekuwa wa Dar wala usingeniona kwenye huu uzi,ningekuwa nimeshajificha mvunguni mda mrefu sana!.....Huku tuna rahaa sana kwa sababu tupo vizuri,juzi nimemlala girlfriend wangu hadi ameomba poo kwa sababu huku tunacheza show za kibabe mno,we play rough game like no body is business![emoji1]
 
Bwana mdogo,dada zako kila siku nawachana rinda,uwa nashangaa n kwann wanafanya michezo iyo ilhali bado rinda lipo.So wao hunijbu vijana wa Dar n vibamia ndio maana rinda nalikuta..
Umepotea njia. Unajua mjini kuna marinda ya kichina? Kwakuwa wewe ni mshamba huwezi jua unabaki ukijisifia tu. Toa tongotongo hizo, ushamba una mwisho wake.
 
Wewe kaa kijijini kwako huko.

Kama umezoea kijiji usifikiri Dar kijiji.
Ni ule ule wimbo wa kukosa...

Wengine utakuta wanawakanda wabeba mabox lakini ndoto yake anatamani naye afike huko...

Ndo kama hivi sasa, wachunga mbuzi eti nao wanawakandya watoto wa mjini...

Kumbe wanatamani japo siku moja walione soko la Kariakoo
 
Ni ule ule wimbo wa kukosa...

Wengine utakuta wanawakanda wabeba mabox lakini ndoto yake anatamani naye afike huko...

Ndo kama hivi sasa, wachunga mbuzi eti nao wanawakandya watoto wa mjini...

Kumbe wanatamani japo siku moja walione soko la Kariakoo
Hawa nyambiti wengine tabu sana ndugu zangu, nawajua.
 
Kwahiyo mnakubali kuwa mwanaume mmoja anadindishia wanaume wa mtaa mzima? wanaume zaidi ya mia mnahanya mbele ya chalii mmoja kisa anapiga taikondo? Pambafu kabisa, au kwakuwa dar hakuna mawe kwa street ni mchanga tu?
Wapumbavu sana hawa jamaa wa dar.

Kila siku kushinda gym ili mpate majimama ya kuwalea.

Wanamhanya mtoto mdogo sana eti kisa anapiga sijui kareti. Aje tu huku Tarime aone anavyojambishwa na Wanawake.

Atakakabidhiwa tu wanawake wamfunze adabu.
 
Back
Top Bottom