Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ulitaka kuingia kwenye mahusiano na mwanaume wa Dar
Mkaka: Dada nimekupenda niko serious nataka mke
Mdada: Sawa tu niko tayari
Mkaka : Baby una mtoto?
Mdada; Sina baby, wewe unae?
Mkaka: Ndio mpenzi ninao wawili, ukinizalia watatu inanitosha.
Mdada: Ooh hongera sana. Wanao wako wapi?
Mkaka: Wako na mama zao
Mdada: Ok
Mkaka: Sasa utakuja lini baby nikupe mimba,nimechoka kweli kuishi peke yangu
Mdada: Tutaishi bila ndoa
Mkaka: Ndoa baby ni sisi wawili tukishakaa tutafunga mbeleni huko
Hivi haya mahusiano yatahusu nini zaidi ya kuload baby mama no 3?
Ila cha ajabu kuna wanawake wanajipeleka tu eneo kama hilo.
Wanaume acheni kuzaa zaa ovyo.mnafanya maisha magumu.
Wa kuoa utakuwa wewe?