Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #41
Nimekumiss ujueYaani ndio umeamua kuja kuninanga na kunisimangia huku JF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumiss ujueYaani ndio umeamua kuja kuninanga na kunisimangia huku JF?
Wa kuoa utakuwa wewe?
Ahahaaa pole lea hukoHapo mwisho KWenye ndoa bby tutafunga baada yakuishi pmj!!hyo ndio dhambi niliyonayo kwakwel japo czalishii binti wa mtu zaidi yakujilia mbususu nakusepa,x mama mtt wangu ulaaniwe uko ulipo ,ulinitelekezea mtt wa miezi mitatu nakukimbia kusikojulikana mpk leo nakunifanya nisiamini ktk mapenz tenaa,leo mtt ananita baba hapo hapo tena ananiita mama ,mambo gan haya nyinyi wanawakeee,
Mtoto wa miezi mitatu...?? Ulimfanya nini??Hapo mwisho KWenye ndoa bby tutafunga baada yakuishi pmj!!hyo ndio dhambi niliyonayo kwakwel japo czalishii binti wa mtu zaidi yakujilia mbususu nakusepa,x mama mtt wangu ulaaniwe uko ulipo ,ulinitelekezea mtt wa miezi mitatu nakukimbia kusikojulikana mpk leo nakunifanya nisiamini ktk mapenz tenaa,leo mtt ananita baba hapo hapo tena ananiita mama ,mambo gan haya nyinyi wanawakeee,
Nambie brohz.[emoji17]
Tumetumwa kujaza duniaUlitaka kuingia kwenye mahusiano na mwanaume wa Dar
Mkaka: Dada nimekupenda niko serious nataka mke
Mdada: Sawa tu niko tayari
Mkaka : Baby una mtoto?
Mdada; Sina baby, wewe unae?
Mkaka: Ndio mpenzi ninao wawili, ukinizalia watatu inanitosha.
Mdada: Ooh hongera sana. Wanao wako wapi?
Mkaka: Wako na mama zao
Mdada: Ok
Mkaka: Sasa utakuja lini baby nikupe mimba,nimechoka kweli kuishi peke yangu
Mdada: Tutaishi bila ndoa
Mkaka: Ndoa baby ni sisi wawili tukishakaa tutafunga mbeleni huko
Hivi haya mahusiano yatahusu nini zaidi ya kuload baby mama no 3?
Ila cha ajabu kuna wanawake wanajipeleka tu eneo kama hilo.
Wanaume acheni kuzaa zaa ovyo.mnafanya maisha magumu.
Wa kuoa utakuwa wewe?
Tenaa na kijana kashakuwaa ilaa wanawakee bhana msiishie kutulaumu tu ngomaa ishakuwa droo hii,ukizubaa tu unaliwaAhahaaa pole lea huko
Nilipambanaa nayeeee KWA msaada wa dogo langu la kikee haki mungu amesimama naye now day ana miaka sita ,na rotii za hospital hazikukaukaa ilaa god is goodMtoto wa miezi mitatu...?? Ulimfanya nini??
Wanaotoa mapene hawataki penzi la mpiraSasa kama n maisha,bas atumie njia za kuzuia mimba akiwa anarekebisha hayo maisha
YakunitakiaWanawake tunapata tabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Pole kwa mimba..[emoji16]
Sasa ulitaka niweke kambi ya nini na tayari watoto ninaoUlitaka kuingia kwenye mahusiano na mwanaume wa Dar
Mkaka: Dada nimekupenda niko serious nataka mke
Mdada: Sawa tu niko tayari
Mkaka : Baby una mtoto?
Mdada; Sina baby, wewe unae?
Mkaka: Ndio mpenzi ninao wawili, ukinizalia watatu inanitosha.
Mdada: Ooh hongera sana. Wanao wako wapi?
Mkaka: Wako na mama zao
Mdada: Ok
Mkaka: Sasa utakuja lini baby nikupe mimba,nimechoka kweli kuishi peke yangu
Mdada: Tutaishi bila ndoa
Mkaka: Ndoa baby ni sisi wawili tukishakaa tutafunga mbeleni huko
Hivi haya mahusiano yatahusu nini zaidi ya kuload baby mama no 3?
Ila cha ajabu kuna wanawake wanajipeleka tu eneo kama hilo.
Wanaume acheni kuzaa zaa ovyo.mnafanya maisha magumu.
Wa kuoa utakuwa wewe?
Si huwa mnapenda bad boys?Ulitaka kuingia kwenye mahusiano na mwanaume wa Dar
Mkaka: Dada nimekupenda niko serious nataka mke
Mdada: Sawa tu niko tayari
Mkaka : Baby una mtoto?
Mdada; Sina baby, wewe unae?
Mkaka: Ndio mpenzi ninao wawili, ukinizalia watatu inanitosha.
Mdada: Ooh hongera sana. Wanao wako wapi?
Mkaka: Wako na mama zao
Mdada: Ok
Mkaka: Sasa utakuja lini baby nikupe mimba,nimechoka kweli kuishi peke yangu
Mdada: Tutaishi bila ndoa
Mkaka: Ndoa baby ni sisi wawili tukishakaa tutafunga mbeleni huko
Hivi haya mahusiano yatahusu nini zaidi ya kuload baby mama no 3?
Ila cha ajabu kuna wanawake wanajipeleka tu eneo kama hilo.
Wanaume acheni kuzaa zaa ovyo.mnafanya maisha magumu.
Wa kuoa utakuwa wewe?
Dunia haina huruma na mwanamkeWanawake tunapata tabu