Wanaume wa Dar motoni moja kwa moja

Wanaume wa Dar motoni moja kwa moja

Single mothers watakuwa wengi sana baadae hapo huyo mwanamke atamchek jamaa nirushie 50k sijui ya kodi ili kuprove kama anapendwa kweli then atatumiwa hapo kanasa

Anaenda kutanua miguu anawekwa mimba tayar Kawa used hatoelewa
 
Wanaume wa Dar mkuje mnaitwa huku, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulitaka kuingia kwenye mahusiano na mwanaume wa Dar

Mkaka: Dada nimekupenda niko serious nataka mke

Mdada: Sawa tu niko tayari

Mkaka : Baby una mtoto?

Mdada; Sina baby, wewe unae?

Mkaka: Ndio mpenzi ninao wawili, ukinizalia watatu inanitosha.

Mdada: Ooh hongera sana. Wanao wako wapi?

Mkaka: Wako na mama zao

Mdada: Ok

Mkaka: Sasa utakuja lini baby nikupe mimba,nimechoka kweli kuishi peke yangu

Mdada: Tutaishi bila ndoa

Mkaka: Ndoa baby ni sisi wawili tukishakaa tutafunga mbeleni huko

Hivi haya mahusiano yatahusu nini zaidi ya kuload baby mama no 3?

Ila cha ajabu kuna wanawake wanajipeleka tu eneo kama hilo.

Wanaume acheni kuzaa zaa ovyo.mnafanya maisha magumu.

Wa kuoa utakuwa wewe?
Yaani ndio umeamua kuja kuninanga na kunisimangia huku JF?
 
Kama wewe ni mtu mzima na ulishakuwa na watoto tayari; ujue kila utakayekutana naye kwenye mahusiano atakuwa ni wa kampani tu. Mambo ya kuongeza watoto yatakuwa ni makubaliano binafsi.
 
Hayo ndio matatizo ya Kuchugua mume vibaya.

Afu tufanye hivi ... Kuolewa sio lazima, nzao unatafuta hata wawili au mmoja ukitaka mwanamke.
 
Mwenzetu wewe ni mwamanume wa mikioani au...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hata najua bas n mwanaume wa wapi? Nipo nipo tyuuh yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sometimes huwa naona wanawake ile kuwa na watoto wanaichukulia kama faraja yaan anajikumbusha enzi zile alovyokuwa anachezea matoy ya watoto

Wanawake wanapenda kuzaa sana,pasipo kujali mazingira waliyonayo
 
Wengine siyo akili zao ni Maisha tuu
Sometimes huwa naona wanawake ile kuwa na watoto wanaichukulia kama faraja yaan anajikumbusha enzi zile alovyokuwa anachezea matoy ya watoto

Wanawake wanapenda kuzaa sana,pasipo kujali mazingira waliyonayo
 
Back
Top Bottom