Wanaume wa Dar motoni moja kwa moja

Hapo mwisho KWenye ndoa bby tutafunga baada yakuishi pmj!!hyo ndio dhambi niliyonayo kwakwel japo czalishii binti wa mtu zaidi yakujilia mbususu nakusepa,x mama mtt wangu ulaaniwe uko ulipo ,ulinitelekezea mtt wa miezi mitatu nakukimbia kusikojulikana mpk leo nakunifanya nisiamini ktk mapenz tenaa,leo mtt ananita baba hapo hapo tena ananiita mama ,mambo gan haya nyinyi wanawakeee,
 
Ahahaaa pole lea huko
 
Mtoto wa miezi mitatu...?? Ulimfanya nini??
 
Tumetumwa kujaza dunia
 
Mtoto wa miezi mitatu...?? Ulimfanya nini??
Nilipambanaa nayeeee KWA msaada wa dogo langu la kikee haki mungu amesimama naye now day ana miaka sita ,na rotii za hospital hazikukaukaa ilaa god is good
 
Sasa ulitaka niweke kambi ya nini na tayari watoto ninao
 
Si huwa mnapenda bad boys?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…