ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Duuuh!Hapo red... mbona unakuwa kama waimba taarab?? Hilo cheko lina wenyewe...
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh!Hapo red... mbona unakuwa kama waimba taarab?? Hilo cheko lina wenyewe...
![]()
Mmhh sasa APA unawasema wanaume wa dar au unawasema kina dadaHivi wanaume wa Dar, mna matatizo gani mnadandia dandia vijineno neno kama wadada,
- Siyo kila kinachopita mnapita nacho, kuweni na akili basi
Ukiona mwanaume anafuatilia maisha ya mwanaume mwenzie ujue huyo si mwanaume bali si rizkiHata wewe umedandia "Wanaume wa Dar" halafu unakandia kudandia maneno.
Unajuaje wanaosemahivyo ni wa Dar tu?
cc NgamianiHahaaa, halafu umewambia ukweli yani wana vimisemo hadi kero utaskia jitu zima limekazana 'pambana na hali yako'
HahahaNambie... Naona ushakamata Noah yako....
Nakuona... nakuonaa...
![]()
Mkuu pole pole aisee! Naona mada imekuchoma sana! Take it easy.Ukiona mwanaume anafuatilia maisha ya mwanaume mwenzie ujue huyo si mwanaume bali si rizki
![]()
Hamna kitu, nachangamsha jamvi tu.... Peace.Mkuu pole pole aisee! Naona mada imekuchoma sana! Take it easy.
Pamoja mkuu.Hamna kitu, nachangamsha jamvi tu.... Peace.
![]()
Tatizo huu utani wa jadi samtaimz unazidi... basi inabidi tufanye juhudi za kuupunguza kasi
Hahaha
Si ulisema utanipa na ile yakoo
Hahaaa, halafu umewambia ukweli yani wana vimisemo hadi kero utaskia jitu zima limekazana 'pambana na hali yako'
Hao ni wapumbavu na MalofaHivi wanaume wa Dar, mna matatizo gani mnadandia dandia vijineno neno kama wadada,
- Siyo kila kinachopita mnapita nacho, kuweni na akili basi
pambana na ujinga wako mkuu