Nilikuwa kwenye ishu zangu hapa Dar, nikakutana na wanaJF 4 pm kwa pamoja wakaniomba tukutane nimewakubalia. Wanaume watatu na mwanamke mmoja, nashukuru kukutana na nyinyi ila nyie ni mabahili hatari, soda Pepsi imagine wanaume watatu. Mje wenyewe kabla sjataja ID zenu.
Asante Dada M ubarikiwe kwa kunijali na kunipa zawadi ya kwenda nayo mkoani.