Wanaume wa Dar ni bahili, naondoka bila zawadi

Wanaume wa Dar ni bahili, naondoka bila zawadi

Wasamehe bure..walikua busy na kukimbizana na panyaroad
 
Awareness imeongezeka kwa kiasi fulani kuhusu wanaume kuona kuhonga ni ushamba na ulimbukeni mkubwa!

Wadangaji wanalalamika kuwa na hali ngumu maana wanauza hawakati tena siku hizi [emoji389][emoji383][emoji384][emoji385][emoji387]

Ujinga wakati wa kwenda [emoji108]

Kurudi werevu [emoji108]
 
Nilikuwa kwenye ishu zangu hapa Dar, nikakutana na wanaJF 4 pm kwa pamoja wakaniomba tukutane nimewakubalia. Wanaume watatu na mwanamke mmoja, nashukuru kukutana na nyinyi ila nyie ni mabahili hatari, soda Pepsi imagine wanaume watatu. Mje wenyewe kabla sjataja ID zenu.

Asante Dada M ubarikiwe kwa kunijali na kunipa zawadi ya kwenda nayo mkoani.
Labda hujawavutia
 
Awareness imeongezeka kwa kiasi fulani kuhusu wanaume kuona kuhonga ni ushamba na ulimbukeni mkubwa!

Wadangaji wanalalamika kuwa na hali ngumu maana wanauza hawakati tena siku hizi [emoji389][emoji383][emoji384][emoji385][emoji387]

Ujinga wakati wa kwenda [emoji108]

Kurudi werevu [emoji108]
Naam
 
Back
Top Bottom