orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,947
- 4,876
Doh hapo mitaa yangu kabisa nikija the dream ntakucheki,Karibu kona ya bwiru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doh hapo mitaa yangu kabisa nikija the dream ntakucheki,Karibu kona ya bwiru
Hawajakuelewa na shape yako hyo ya kigachaNilikuwa kwenye ishu zangu hapa Dar ,nikakutana na wanajf 4 pm kwa pamoja wakaniomba tukutane nimewakubalia ,wanaume watatu na mwanamke mmoja,nashukuru kukutana na nyinyi ila nyie ni mabahiri hatari,soda pepsi imagin wanaume watatu ,mje wenyewe kabla sjataja I'd zenu
Asant Dada M ubarikiwe kwa kunijali na kunipa zawadi ya kwenda nayo mkoani
Nilikuwa kilingeni rafikiHalafu wewe utanambia ulikuwa umeenda wapi
Si ndio huyu huyu[emoji23]Hivi yule jamaa anaye jiita sijui magala yupo kwanza.
Nmekumbuka jf ya nyuma kidogo
Kumbe tunapambana na ID mbili humu 🤣🤣🤣🤣Si ndio huyu huyu[emoji23]
Wewe toka huko mkoani kwako uliwabebea zawadi gani hao wanaume wa dar? Au unachojua wewe ni kupokea tu!?Nilikuwa kwenye ishu zangu hapa Dar ,nikakutana na wanajf 4 pm kwa pamoja wakaniomba tukutane nimewakubalia ,wanaume watatu na mwanamke mmoja,nashukuru kukutana na nyinyi ila nyie ni mabahiri hatari,soda pepsi imagin wanaume watatu ,mje wenyewe kabla sjataja I'd zenu
Asant Dada M ubarikiwe kwa kunijali na kunipa zawadi ya kwenda nayo mkoani
Fuatilia utaonaKumbe tunapambana na ID mbili humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jina lako unatakiwa uli-edit lisomeke hivi: Ngosha o Ng'wanza. Kisukuma hakina neno "wa" wala "mwa". "Ra" nayo pia hawana isipokuwa "la"Njoo mwanza ulege masangara huku kwetu mangosha [emoji7][emoji7]
Hv hiyo pic ni yako kweli ama umechomekea tuanzie hapo!?Nilikuwa kwenye ishu zangu hapa Dar, nikakutana na wanaJF 4 pm kwa pamoja wakaniomba tukutane nimewakubalia. Wanaume watatu na mwanamke mmoja, nashukuru kukutana na nyinyi ila nyie ni mabahili hatari, soda Pepsi imagine wanaume watatu. Mje wenyewe kabla sjataja ID zenu.
Asante Dada M ubarikiwe kwa kunijali na kunipa zawadi ya kwenda nayo mkoani.
Huko mwanza ndio kwaoUkipata mishe yakuzurura mwanza niambie
umechemsha mwemyewe we ungeita mmoja tu sasa watatu ingekuwaje, au igekuwa foursome?wanaume watatu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]my wanguNilikuwa kwenye ishu zangu hapa Dar, nikakutana na wanaJF 4 pm kwa pamoja wakaniomba tukutane nimewakubalia. Wanaume watatu na mwanamke mmoja, nashukuru kukutana na nyinyi ila nyie ni mabahili hatari, soda Pepsi imagine wanaume watatu. Mje wenyewe kabla sjataja ID zenu.
Asante Dada M ubarikiwe kwa kunijali na kunipa zawadi ya kwenda nayo mkoani.
inawezekana wameona hailipi kukunulia chochote sababu ya muonekano wako au umedeti na mastudentsNilikuwa kwenye ishu zangu hapa Dar, nikakutana na wanaJF 4 pm kwa pamoja wakaniomba tukutane nimewakubalia. Wanaume watatu na mwanamke mmoja, nashukuru kukutana na nyinyi ila nyie ni mabahili hatari, soda Pepsi imagine wanaume watatu. Mje wenyewe kabla sjataja ID zenu.
Asante Dada M ubarikiwe kwa kunijali na kunipa zawadi ya kwenda nayo mkoani.
Wamekuongezea nauli kutoka 7800 ?Usiniwazie negatively jamani