Wanaume wa dar tukutane hapa!

Wanaume wa dar tukutane hapa!

Joto linafanya mwili unalegea sana

hao wanaopenda kuporomosha

kauli za dharau kwa wazee wa Jiji

walione hili.....
 
Nyie wanaume wa dar mnapenda sana kupaka diproson na betasol sna hamu na nyie
 
Eti naskia ndoto za wanaume wa mikoani in kutoboa kuja dar..inasemekana lakini mi simooo!!!
Licha ya hivyo sisi Sisi wanaume wa dar tunawadalalia mazao yao
Ndo hivi
 
Back
Top Bottom