Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,097
Wanagubu sana hawa jamaa....[emoji12] [emoji12]wanaume wa daa mna maneno!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanagubu sana hawa jamaa....[emoji12] [emoji12]wanaume wa daa mna maneno!
Fanya uje uchukue pesa ya vocha aiseeeee......Nachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midomo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kamua nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ili akikupitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar.
Cheers to you
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanaume wa Dar akijiselifisha!![emoji116]
Dadeekiii wameingiaa kwenye 18 zako walahiiiWanaume wa dar acha tu kaka angu,hawachelewi ukitoka nae geto anakupa elfu 10 mkifika mbele anakuambia babe lipa basi,unatoa kale ka elfu 10 unalipia sahani mbili ya chakula chao pendwa "chips mayai" elfu tano ngwaaaaa inaenda anaagiza na soda etu babe we usinunue,hii pepsi nitapata free soda,akifungua holaaaa anakuta DARE FOR MORE...pespi nao wana waangushaga wanaume wa dar jomoni. Haya hapo utasikia babw chukua na wewe basi. Unajikuta umebakiwa na elfu 4 tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] then mnagpnga selfie zenu za kibab hapo,then unaambiwa babe hebu nipe huku kwanza nijiunge bundle nipost picha. Elfu 2 kwendraaaaaaaaaa. Unabakiwa na elfu 2 unapanda zako boda boda unalipia buku unabaki na buku,akikutumia sms hujibu akipiga ukasema huna salio anakuambia si umebakiwa na ela,nunua babe jiunge tuchat.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume wa dar hamfai kwa chumvi wala sukari,kwa kulumangira wala mchuzi
We sasa unataka kunigombanisha na wanaume wa dar [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Dadeekiii wameingiaa kwenye 18 zako walahiii
Naanzia wapiiii ?? Na unavowapendaa ebhu waongezee sifa nyingineWe sasa unataka kunigombanisha na wanaume wa dar [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]