Wanaume wa Dar tumechoka kudharaulika!

Wanaume wa Dar tumechoka kudharaulika!

Unajua nyie mmetofautiana.

Kuna mnaotaka show za kibabe na wanaotaka pesa. Yani show ni nothing.

Sasa huku dsm tunawataka hao kundi la pili.
Mnawataka au ndo inabidi iwe hivo amigo
Nguvu za kutafuta na manati
 
Kwa hiyo wanaume wa dar kazi yao kusoma Ramani na kuvusha watu Barabara? Hehehe unajitukanisha zaidi
Achana nao hao wa mkoa. Wakishuka Ubungo mtihani wa kwanza ni kuvuka barabara. Kwanza majengo yanamchanganya, pili hajui anaanzaje kuvuka barabara. Wengi wanaishia kupiga simu tukawapokee, halafu wanaleta dharau eti wanaume wa Dar dhaifu. Shynzy taipu
 
Kwani wanatuchukuliaje? Maana kila tukio lililoshindwa kukamilishwa na Mwanaume Fulani utasikia ooo..wanaume wa dar ndio wameshindwa,akitotokea mtu muoga,mwenye udhaifu anaitwa mwanaume wa dar,tunaonekana wanaume wa Dar sio majasiri,shupavu,waoga na wadhaifu, hii haikubaliki.
Msituchukulie poa aiseee
Aakh.mmechoka kila kitu kiboko yenu ni Simba wa kimasai na kichaga.
 
mi wamenionesha kitu kipya sikuwahi kukiona mkoani, kusukuma wanawake ili wawahi siti ya gari.... Happy new year wanaume wote wa darrrr
Hapo na mimi nilichoka nilipoliona hili, tena wanakaa kwenye siti wakati mama mtu mzima anaelingana hata na mamake mzazi amesimama[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wanaume wa dar hawali mipilipili mbuzi sijui pilipili kichaa ili iweje?? atoe ulimi nje kama mbwa au[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wao wanakuambia chachandu buana Mara ya kwa mpemba,Mara ya kwa sadamu makuku,sijui ya mamboz wanajua mitaa yote. Chedhea wa daslama wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wananimaliza na msemo wao "kwetu dar" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aaaaaagh cheers boys and men from daslama

Evelyn Salt
 
Nachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midomo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kamua nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ili akikupitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar.
Cheers to you
Maserat haya maneno yako au,anyway poa tuu ntakusubiri kule maeneo yetu tuu.
 
Kwani wanatuchukuliaje? Maana kila tukio lililoshindwa kukamilishwa na Mwanaume Fulani utasikia ooo..wanaume wa dar ndio wameshindwa,akitotokea mtu muoga,mwenye udhaifu anaitwa mwanaume wa dar,tunaonekana wanaume wa Dar sio majasiri,shupavu,waoga na wadhaifu, hii haikubaliki.
Msituchukulie poa aiseee

Kwani uwongo....hata takwimu za kuishiwa nguvu za kiume na mashoga zinawaelemea wanaume wa Dar. Mfano jiangalie wewe mwenyewe (kitumbotala), mtumbo kama huo unategemea kuwa na nguvu za kiume za uhakika kweli? Wengi wenu mnakuwa mashoga baada ya kukosa hizo nguvu za kiume mnaona bora mshikishwe ukuta. Mwanamme wa Dar anaweza kuona mtu anaonewa kwa kupigwa atakimbia na kupita mtaa wa pili huku akimcheka.
 
Maserat haya maneno yako au,anyway poa tuu ntakusubiri kule maeneo yetu tuu.
Jomoni jomoni, usiseme hivo. Gonga cheers kwanza.
Mi nawaelewa sana wanaume wa dar hamjui tu. Na mnavopenda juice za miwa zenye tangawizi na hiriki. Waache wanawaonea wivu wa mkoa wanakomaa na mafundo ya mua mpaka midomo ina chanika.
Cheers[emoji482]
 
Hapo na mimi nilichoka nilipoliona hili, tena wanakaa kwenye siti wakati mama mtu mzima anaelingana hata na mamake mzazi amesimama[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yani hata kibibi kinashika bomba kusimama, wanaume wamekaa....wanaume wa dar sio wa mchezo
 
Jomoni jomoni, usiseme hivo. Gonga cheers kwanza.
Mi nawaelewa sana wanaume wa dar hamjui tu. Na mnavopenda juice za miwa zenye tangawizi na hiriki. Waache wanawaonea wivu wa mkoa wanakomaa na mafundo ya mua mpaka midomo ina chanika.
Cheers[emoji482]
Leo hii itakuwa agenda yangu kwenye lile jukwaa la popooooZ ili unieleweshe vizuri.
 
Wanaume wa dar hawali mipilipili mbuzi sijui pilipili kichaa ili iweje?? atoe ulimi nje kama mbwa au[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wao wanakuambia chachandu buana Mara ya kwa mpemba,Mara ya kwa sadamu makuku,sijui ya mamboz wanajua mitaa yote. Chedhea wa daslama wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wananimaliza na msemo wao "kwetu dar" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aaaaaagh cheers boys and men from daslama

Evelyn Salt
Na chachandu za dar za kipekee, mkoani hupati acha tu mkoani wawalimie pilipili zije dar watengenezewe
 
Back
Top Bottom