Wanaume wa Dar tumechoka kudharaulika!

Wanaume wa Dar tumechoka kudharaulika!

Ukienda mkoani ukaa kaa hata wiki 2 ivi utaelewa kwa nini jamaa wana hasira na Dar,acheni masikhara wenzetu wana mikoani wana hasira maana hata Gigy Money wanalipa buku 10000 kumuona walivyo vilaza na vile ambavyo tunavila kwa maneno tu mikoani wanapigwa hadi laki narudia tena mikoani wenzetu wana tatizo la sonono.
Mbaya zaidi wakija Dar tunawapa za uso na tukienda mikoani tunawatuma hao hao watutafutie mademu mpaka hapo lazima wawe na hasira na sisi.
 
Hakika nimengi sanaa nambaya zaidi hawajioni nahawako tayar kufanya mabadiliko. .ila nyie wadada wao pia muwasaidie ,muwe mnawachana laivu banaaa [emoji23] [emoji23] .
Mwanaume Wa Dar juice ya Muwa mpaka akamuliwe ,iweke kwa glass .,,, sasa balaaa nihiliiii....Chips wanalia Toothpick ,nasoda wanatumia mirija .wao wanaiita ustaarabu ukimgusa kiganja lainiiiiiiiii km mtoto mchanga.
hahahahahaaa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
wanatule tubukta twao tumeishia juu ya magoti afu tumekunjwa kdgo.......tupo twa rangi mbali mbali......wao wanapenda sana twanjano........afu huwa hajistukii yn....[emoji13]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ewaaaaa wao wanaviita ivo vibkta ***Tualikiba**[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume Wa Dar........anavaaa kibukta ..demu wake pia kibkta ....wote miguu yao inafanana lainiii[emoji23] [emoji23] hawa wana wanaitaj maombi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanatuitajeeeee......"tualikiba"...!!!!????[emoji13]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ila hapo kwenye kugombea siti na wanawake siyo fair aisee, ila sasa ndo hatuna jinsi.
Hapo kwenye kuwahi siti mna nguvu kwakweli, kuna siku jamaa mmoja wa dar kakunja mikono ya tshrt anajiandaa kugombania mlango wa mwendokasi, kaingia kakaa dah huwezi amini ilikua fire na akashuka msimbazi, hakika wanaume wa dar mna vitu vya kipekee 😀
 
Ki-ukweli huwa naona aibu sana inapotokea natakiwa kugombea gari halafu yupo mwanamke au mdada pembeni.

Huwa najaribu kuacha aingie kwanza na mimi ndo naingia baada yake, ila siyo fair.

Sema nyie nao mnalinga, kuna muda unamwona mdada unamwambia njoo nikupe lift hataki, inabidi umwache agombee tu gari.
 
Nyie sio kwa wadada tu yani hata vibibi mnasukuma, ndo maana panya road huwa wanawafungia mitaa
 
Hapo kwenye kuwahi siti mna nguvu kwakweli, kuna siku jamaa mmoja wa dar kakunja mikono ya tshrt anajiandaa kugombania mlango wa mwendokasi, kaingia kakaa dah huwezi amini ilikua fire na akashuka msimbazi, hakika wanaume wa dar mna vitu vya kipekee 😀
yani na wewe unawasema kaka zako jamaniiiiiii.....daaahhh kweli dar kuna tuwanaume twa ajabu[emoji13]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Nachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midomo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kamua nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ili akikupitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar.
Cheers to you
Kyakyakyaaa
 
Hapo kwenye kuwahi siti mna nguvu kwakweli, kuna siku jamaa mmoja wa dar kakunja mikono ya tshrt anajiandaa kugombania mlango wa mwendokasi, kaingia kakaa dah huwezi amini ilikua fire na akashuka msimbazi, hakika wanaume wa dar mna vitu vya kipekee 😀
Hahhhh.... Labda alikuwa ana wahi dili
 
Nachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midomo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kamua nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ili akikupitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar.
Cheers to you
Dar ni kuwahi foleni tu..... Utapata wapi muda wa kuanza kula miwa....

Ni mwendo wa juice hahhhhh
 
Back
Top Bottom