[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaaa yani ndo umeamua kuwaharibu kabisaaaaaa[emoji2]
wanaume wa dar..!!!! Endeleeni hvo hvo ndo maisha mliochagua.....kubeba begi kubwa siku nzima afu umeweka earphone tu[emoji13]
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaaa yani ndo umeamua kuwaharibu kabisaaaaaa[emoji2]
wanaume wa dar..!!!! Endeleeni hvo hvo ndo maisha mliochagua.....kubeba begi kubwa siku nzima afu umeweka earphone tu[emoji13]
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Unaona sasa mnavokosa utamu,kwenu mboga kwao mlo wa siku. MChana au usikuHahahaha wakat Chips huku kwetu ni mboga
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaaa yani ndo umeamua kuwaharibu kabisaaaaaa[emoji2]
wanaume wa dar..!!!! Endeleeni hvo hvo ndo maisha mliochagua.....kubeba begi kubwa siku nzima afu umeweka earphone tu[emoji13]
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Usichelewe nitaongeza ya pili huku[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimependa Uandishi wako. Chukua soda nitalipia
Nachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midomo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kamua nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ili akikupitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar.
Cheers to you
hahahahahaha..! mnaogopa hadi mende! utasikia "lete mti tuue mende..! ua...ua huyo.. ponda kichwani!." ukiuliza, eti "mende mkubwa sana!" hahahahahaha.. na hao panya mabaka sijui buku sijui rodi ndo kabisa...!
muwashe kiberiti sio....mwakani haya mambo yakiendelea itabidi tukiwashe kwa kweli. hawa wa mkoa hawatujui vizuri sie. tutafanya mgomo baridi ohooo..
Mkuu ongeza tu ikibidi agizia Kreti zima.[emoji23][emoji23][emoji23] Si kwa uandishi huo, nitakutafuta aisee.Usichelewe nitaongeza ya pili huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
muwashe kiberiti sio....
Au mnawasha nini tena
Hakika nimengi sanaa nambaya zaidi hawajioni nahawako tayar kufanya mabadiliko. .ila nyie wadada wao pia muwasaidie ,muwe mnawachana laivu banaaa [emoji23] [emoji23] .Wanaume wa dar wana mengi jamani..meeengiiii sana hayaishi wala kupungua. Waacheni tu jomoni.
Cheers to wanaume wa dar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weweehahahaaa yani ndo umeamua kuwaharibu kabisaaaaaa[emoji2]
wanaume wa dar..!!!! Endeleeni hvo hvo ndo maisha mliochagua.....kubeba begi kubwa siku nzima afu umeweka earphone tu[emoji13]
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Astakhafillulah laanatulahNgoja nikafanye scrub na pedicure narudi.
Am A Doll sijakuelewa.Astakhafillulah laanatulah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mi wamenionesha kitu kipya sikuwahi kukiona mkoani, kusukuma wanawake ili wawahi siti ya gari.... Happy new year wanaume wote wa darrrr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nachowapendea wanaume wa dar