Wanaume wa Dar tumechoka kudharaulika!

Fanya uje uchukue pesa ya vocha aiseeeee......
Leo umeniwezea kwa hawa wanaume wa Dar....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hili swala la kuvaa tubuktwa tufupi kama boxer aseeeh ndio linanushangaza janaumeee zima mapaja nj'e binti naye hivyo hivyo that's why akina kaoge ni wengi
 
Kuna haja yakufanya maandamano kupinga hii imani inayo kuwa kimya kimya
 
Reactions: Lee
Dadeekiii wameingiaa kwenye 18 zako walahiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…