Wanaume wa Dar wanapotaka kufanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau

Umesahau mchuzi wa pweza,
 
Namsikilizia jakitoo nini mrejesho wake kwa hao waungwana,
Kakaribishwa sehemu naona kama anataka kuitikia wito!

Katumiwa namba prime minister naona anaahidi kumpigia jamaa.
Nimeona
We screenahot tu kwa matumizi ya baadae[emoji23][emoji23]
 
Kuna rafiki yangu kipindi Niko dar alitaka kuniambukiza ujinga eti nitumie michuzi ya pweza
 
Umesahau juice ya muwa na chokolate wanapaka kwenye katerero walamabe. Kumbafu sana hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…