Wanaume wa Dar wanapotaka kufanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Wanaume wa Dar wanapofanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau.

Mara KY Jelly, condom, mafuta ya massage, Vumbi la Congo, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi.

Hapo bado hawajala mihogo, karanga mbichi na nazi na supu ya pweza. Bado hawajatafuta chumba chenye AC.

Yaani hapo akikosa kimoja show haikosi visingizio.
 
Ha haa! Hivyo viungo juzi juzi vimethibitishwa na serikali kuwa na ufanisi wa hali ya juu! Usividharau, ukifikisha miaka sitini-sabini huko utavihitaji maana mashine itakuwa haina nguvu ya kupanda Kitonga bila msaada wa viungo!
 
Wanaume wa Dar wanapofanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau.

Mara KY Jelly, condom, mafuta ya massage, Vumbi la Congo, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi.

Hapo bado hawajala mihogo, karanga mbichi na nazi na supu ya pweza. Bado hawajatafuta chumba chenye AC.

Yaani hapo akikosa kimoja show haikosi visingizio.
umewaona wangapi wakifanya hivyo?
 
Back
Top Bottom