yeddy guyy
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 627
- 489
wanataka kuwa wabunifu wa mitindo.mzee magu kaza hvyo hvyo had wavae bikini za dada zao.Kuongezeka kwa wanaume wanaofanya scrub, mask, wanaoweka wave ni kihashiria tosha sasa wanawake wamepata washindani.
Sijambo lakushangaza kumkuta mtoto wa kiume, mwanaume amevaa jeans iliyobana miguu na kuchora mapaja yake,eti inaitwa kamatia chini .
Sasa nyie wanaume wa Dar mnataka kutonesha nini? mnashindana kuonesha mapaja yenu yalivyo nona kama dada zenu wanavyofanya?wanaume wa dar kwa thatha akitembea na dada yake inakupasa kuwa makini kuwatofautisha!wote wameweka nywele dawa,lipstick wamepaka,kijana anaukia kuliko dada yake,kavaa jeans kamati chini!
Ndo maana siku hizi hawashindi home weekend, sababu hawajiwezi wanaogopa kutekeleza majukumu yao!vijana wa mkoani wameamua kuunda tume huru.ya kukusanya maoni jinsi ya kuwanasua vijana wenzetu.
mwezi wa saba ndo huu na bado tupo mjini