Wanaume wa Dar wanashindana urembo na dada zao!!!!

Wanaume wa Dar wanashindana urembo na dada zao!!!!

Kuongezeka kwa wanaume wanaofanya scrub, mask, wanaoweka wave ni kihashiria tosha sasa wanawake wamepata washindani.

Sijambo lakushangaza kumkuta mtoto wa kiume, mwanaume amevaa jeans iliyobana miguu na kuchora mapaja yake,eti inaitwa kamatia chini .

Sasa nyie wanaume wa Dar mnataka kutonesha nini? mnashindana kuonesha mapaja yenu yalivyo nona kama dada zenu wanavyofanya?wanaume wa dar kwa thatha akitembea na dada yake inakupasa kuwa makini kuwatofautisha!wote wameweka nywele dawa,lipstick wamepaka,kijana anaukia kuliko dada yake,kavaa jeans kamati chini!

Ndo maana siku hizi hawashindi home weekend, sababu hawajiwezi wanaogopa kutekeleza majukumu yao!vijana wa mkoani wameamua kuunda tume huru.ya kukusanya maoni jinsi ya kuwanasua vijana wenzetu.
wanataka kuwa wabunifu wa mitindo.mzee magu kaza hvyo hvyo had wavae bikini za dada zao.
mwezi wa saba ndo huu na bado tupo mjini
 
Hata kama tutampinga kwa upana wote wa midomo yote, mleta mada yupo sahihi na kasema ukweli. Kwani hili mitaani halionekani au linaonekana? Watu ni vipofu wasione ufedhuli huu wa vijana wetu? Hivi wanapotembea huwa hawatikisi nyama za makalio kama au zaidi ya dada zao? Hawavai hizo kamatia chini au wanavaa? Je, mnapopishana zile harufu kali za pafume huwa hazitoi harufu au ni harufu ya vikwapa? Hawa scrub nyuso, kuweka wigi na kutinda nyusi? Njoo hapa shekilango karibu na san siro uje uone maajabu ya kinachosemwa ili utafiti utimie,jamaa 30-38 yrs anafanyiwa haya yote na wadada kama watatu hivi wanamshughulikia. Usipinge tu kwa sababu unajua kupinga, huu nao kweli ni wivu? Dume halitakiwi kuwa na tabia hizi za make up, ili iweje?

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
juzi nimekuta mwanaume anaoshwa miguu na kukata kucha!thatha kweli huo ni uwanaume??

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuna kitu wamekulazimisha?

Mbona Watalibani wanapaka hina mpaka midevu hujawasema?
 
Mwanaume wa Dar nimefika, leteni malalamiko yenu
 
Kwani kuna kitu wamekulazimisha?

Mbona Watalibani wanapaka hina mpaka midevu hujawasema?
Sisi ni watalibani??tamaduni za kitanzania zina ruhusu mwanaume rijali kutinda nyusi,kupaka rangi kucha?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
93beb19532b24aa083881ea4fa156107.jpg

Mtuache na maisha yetu, nyambafu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kuongezeka kwa wanaume wanaofanya scrub, mask, wanaoweka wave ni kihashiria tosha sasa wanawake wamepata washindani.

Sijambo lakushangaza kumkuta mtoto wa kiume, mwanaume amevaa jeans iliyobana miguu na kuchora mapaja yake,eti inaitwa kamatia chini .

Sasa nyie wanaume wa Dar mnataka kutonesha nini? mnashindana kuonesha mapaja yenu yalivyo nona kama dada zenu wanavyofanya?wanaume wa dar kwa thatha akitembea na dada yake inakupasa kuwa makini kuwatofautisha!wote wameweka nywele dawa,lipstick wamepaka,kijana anaukia kuliko dada yake,kavaa jeans kamati chini!

Ndo maana siku hizi hawashindi home weekend, sababu hawajiwezi wanaogopa kutekeleza majukumu yao!vijana wa mkoani wameamua kuunda tume huru.ya kukusanya maoni jinsi ya kuwanasua vijana wenzetu.
Toa idadi wangapi usikute na wewe umo
 
Back
Top Bottom