Wanaume wa Dar wanashindana urembo na dada zao!!!!

wanataka kuwa wabunifu wa mitindo.mzee magu kaza hvyo hvyo had wavae bikini za dada zao.
mwezi wa saba ndo huu na bado tupo mjini
 
juzi nimekuta mwanaume anaoshwa miguu na kukata kucha!thatha kweli huo ni uwanaume??

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuna kitu wamekulazimisha?

Mbona Watalibani wanapaka hina mpaka midevu hujawasema?
 
Mwanaume wa Dar nimefika, leteni malalamiko yenu
 
Kwani kuna kitu wamekulazimisha?

Mbona Watalibani wanapaka hina mpaka midevu hujawasema?
Sisi ni watalibani??tamaduni za kitanzania zina ruhusu mwanaume rijali kutinda nyusi,kupaka rangi kucha?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 

Mtuache na maisha yetu, nyambafu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Skin jeans tutavaa sana mleta mada ww kama cio tozi au huna pesa za kununua code kausha wanaume wa Dar tuvimbe
 
Toa idadi wangapi usikute na wewe umo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…