Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
generation inayo kuja itakuwa na mapunga wengi sana!!!😀😀 kweli vijana wengi wa Dar lifestyle yao ni hatari sana kwa future generation
Na mwanya!Una kithembe au una pengo?
Duuuu!!Kama huyu?
Ni shida mkuu...rais wa dar ndo yupi huyoDuuuu!!
Wanawake wa Dar wamepata ushindani.
Kuna yule Rais wa Dar nae na zile jeans zake hatari
ooh dsm sijambo lakushangaza kumkuta baba wa miaka 40 anapaka wave!! sasa huyu si mwanaume kabisa??Badilisha Kichwa cha habari...
Kisomeke watoto wa kiume wa dar wanashindan na dada zao...
Wanaume mapigo yao huwa yako wazi...
Shumizii???????[emoji15] [emoji15] [emoji15]Wanaume wa Dar wanapenda kuvaa shumizi.
Utanashati wa kutinda nyusi,kuvaa hereni??acha bhanaKwani kuna tatizo lolote mwanaume akiwa utanashati??
Kila mtu anaishi apendavyo tuache kukariri jamaniUtanashati wa kutinda nyusi,kuvaa hereni??acha bhana
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Ni aibu sana kama ndo wanaume wa dar wamefikia hatua hiyo.Mtoto wa kiume anang'aa usoni,kucha,nywele,nyusi ametinda na ukute amevaa kasuruali kana bana na mwisho chakula anachokula mm nakula had sahan tatu mpaka nne