Wanaume wa Dar wanashindana urembo na dada zao!!!!

Wanaume wa Dar wanashindana urembo na dada zao!!!!

Nmecheka sanaaa

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
😀😀 kweli vijana wengi wa Dar lifestyle yao ni hatari sana kwa future generation
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, wanaume wa Dar ni warembo jamani![emoji116]

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20170709_212850_221.jpg
    IMG_20170709_212850_221.jpg
    57.7 KB · Views: 66
Wamkoa haya maneno kama yangekua yanatoka moyoni au mnayaishi basi Kaoge asingekuja Dar kaharibika.
 
Badilisha Kichwa cha habari...


Kisomeke watoto wa kiume wa dar wanashindan na dada zao...


Wanaume mapigo yao huwa yako wazi...
 
Wanaume wa Dar wanapenda kuvaa shumizi.
 
Badilisha Kichwa cha habari...


Kisomeke watoto wa kiume wa dar wanashindan na dada zao...


Wanaume mapigo yao huwa yako wazi...
ooh dsm sijambo lakushangaza kumkuta baba wa miaka 40 anapaka wave!! sasa huyu si mwanaume kabisa??

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuna tatizo lolote mwanaume akiwa utanashati??
 
Wazee wakulalia chips yai
Na,soda mje huku
 
Back
Top Bottom