Wanaume wa Dar

Wanaume wa Dar

William Ngotti

Senior Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
187
Reaction score
48
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2]
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na mshikaki mmoja.
Jioni jioni anaenda kufanya pedcure[emoji4][emoji4] pale mwenge. Baada ya hapo dili za kutafuta hela zinaendelea......(usiulize anatafutaje, wengi wanajua kuzisaka hata fake)

3.Usiku-Mchemsho wa maini[emoji13][emoji13]. Halafu anakazia na castle light au redbul

RATIBA YA MWANAUME WA MKOANI

1.Asubuhi- Kaamka saa 11 kaanza kukata majani ya ng'ombe then saa moja asubuhi CHAI MAGIMBI,MIHOGO YA KUCHEMSHA NA KARANGA MBICHI.
baada ya hapo analimia limia majani yanayozunguka nyumba.......

2.Mchana-Ugali wa Ulezi,Muhogo au dona na Mchicha+Maharage+Mapapai+ mtindi wa maana.
Baada ya hapo mishe zingine zinaendelea......

3.USIKU-Kabla ya kurudi home anakazia safari,au castle Lager, au BALIMI....then anaenda kula chakula chepesi cha kulalali a DONA NA MLENDA!

Sasa hapo angalia tofauti. Ndo mana wake zenu wakitoka dar kuja kusalimia kwa wazazi wao mkoani hawataki kurudi dar! Mana huko hawapati wanachostaili....Niwape siri huyo akikutana na EX wake wa mkoa mwenye ratiba kama hiyo anakuona wewe kama mdada mwenzie.......HUJIULIZI KILA MGANGA DAR ANAJIDAI KUTIBU NGUVU ZA KIUME?Mkoani hakuna waganga wa hivyo. "Usimwache mkeo aje likizo peke yake mkoani"

Am done!
 
Inategemea hapo mkuu wangu wa dar,anakula kisasa na anapiga show ya hatari hata kwenda likizo mkoani nahisi nitaibiwa labda nisafiri nae
 
hahah wew unagubu na wanaume wenzio!!!!!!!! nani kakwambia mikoa yote wanakula MRENDA na vyakul vya ivo??? au w mgogo ulie vamia DAR nini? alafu ushike yako adabu kugenerelize 'et wake zenu wakij wanang,ang,ania dar!!! yaan nikugande kisa aina ya msosi unaogonga na kwenda kutolew toilet mda huohuo..... na wakti mim kwangu ni mkufunzi wa kupika [hOTEL management] na vyakula vya aina hyo kwangu n daily wala si vgen,,!!!!!! pole
yako we mgen wa vyakula hvo wakat c wenzio tunakazana kutafta vpya we dumaa hapo n chips kavu.
 
Ngoja nipike ugali kwanza, then itareudi baadae.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2]
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na mshikaki mmoja.
Jioni jioni anaenda kufanya pedcure[emoji4][emoji4] pale mwenge. Baada ya hapo dili za kutafuta hela zinaendelea......(usiulize anatafutaje, wengi wanajua kuzisaka hata fake)

3.Usiku-Mchemsho wa maini[emoji13][emoji13]. Halafu anakazia na castle light au redbul

RATIBA YA MWANAUME WA MKOANI

1.Asubuhi- Kaamka saa 11 kaanza kukata majani ya ng'ombe then saa moja asubuhi CHAI MAGIMBI,MIHOGO YA KUCHEMSHA NA KARANGA MBICHI.
baada ya hapo analimia limia majani yanayozunguka nyumba.......

2.Mchana-Ugali wa Ulezi,Muhogo au dona na Mchicha+Maharage+Mapapai+ mtindi wa maana.
Baada ya hapo mishe zingine zinaendelea......

3.USIKU-Kabla ya kurudi home anakazia safari,au castle Lager, au BALIMI....then anaenda kula chakula chepesi cha kulalali a DONA NA MLENDA!

Sasa hapo angalia tofauti. Ndo mana wake zenu wakitoka dar kuja kusalimia kwa wazazi wao mkoani hawataki kurudi dar! Mana huko hawapati wanachostaili....Niwape siri huyo akikutana na EX wake wa mkoa mwenye ratiba kama hiyo anakuona wewe kama mdada mwenzie.......HUJIULIZI KILA MGANGA DAR ANAJIDAI KUTIBU NGUVU ZA KIUME?Mkoani hakuna waganga wa hivyo. "Usimwache mkeo aje likizo peke yake mkoani"

Am done!
halafu wanawaumiza vichwa wanaume wa dar inaelekea,angalieni msipate vichomi
 
We ngotti!

Itabidi uzuiwe kufikiri maana naona unafikiri vinginevyo.

Ni mkoa gani ambao watu wana kazi ya kukata majani ya ng'ombe kila siku?? Yaani wao ni wafugaji tu?

ANYWAY, nisiende mbali sana, NAKUSHAURI UNUNUE NG'OMBE UWALETEE WANAUME WOTE WA DAR WAFUGE ILI WAFANANE NA HAO WA VICHAKANI KWENU.
 
Back
Top Bottom