ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
AbeeeeeeeSakayo?
2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi
Mkuu hapo usimsahau MC pili pilirojo anayelia amepiga magoti na kumwaga machozi akifanya engagement na mkewe mtarajiwa ....Mnawaandama sana wanaume wa daresalama lakini wako fit kinyama tu. Tatizo ni wachoyo(selfish)
Njaa haina hodari lakini siyo sawa mtoto kumbembeleza mzazi hata kama wote hawajala.Mzazi atajikaza tu.
Sasa mwanaume unapoenda msibani hatutegemei ukafarijiwe,umeenda kufariji. Ni kweli una uchungu ! lakini ndiyo kuliko wafiwa?hapo unataka ubebwe na wafiwa kweli!!
Ukiongozana na mwanamke,anategemea umpiganie na kumlinda.
Hii tabia ya kujihurumia sana inaliangamiza taifa.
Mwanamume hupambana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo wapi mkuuNjoo PM please
2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yule mwisho wa matatizo!!m
Mkuu hapo usimsahau MC pili pilirojo anayelia amepiga magoti na kumwaga machozi akifanya engagement na mkewe mtarajiwa ....
Wewe mtu...πππ
Bora unisaidie mkuu, mi mpaka imefikia wakati ikifika wkeend nazima simu
Wewe ndio umehadimika sana nakutafuta kila kona sikupati, leo ndio nimekuoteaWewe mtu...
Mekuhamu ujue
Nipo mimi jamani!Wewe ndio umehadimika sana nakutafuta kila kona sikupati, leo ndio nimekuotea
miss you pia
π Hakuna mwenye huo uwezo wa kunificha mimi nipo tu hadharani sema tunapishana sanaNipo mimi jamani!
Nani ameweza kukuficha ivo tuuuu akiii
Kupishana huko vipi?!π Hakuna mwenye huo uwezo wa kunificha mimi nipo tu hadharani sema tunapishana sana