ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Mnawaandama sana wanaume wa daresalama lakini wako fit kinyama tu. Tatizo ni wachoyo(selfish)
Njaa haina hodari lakini siyo sawa mtoto kumbembeleza mzazi hata kama wote hawajala.Mzazi atajikaza tu.
Sasa mwanaume unapoenda msibani hatutegemei ukafarijiwe,umeenda kufariji. Ni kweli una uchungu ! lakini ndiyo kuliko wafiwa?hapo unataka ubebwe na wafiwa kweli!!
Ukiongozana na mwanamke,anategemea umpiganie na kumlinda.
Hii tabia ya kujihurumia sana inaliangamiza taifa.
Mwanamume hupambana.
Sent using Jamii Forums mobile app