Wanaume wa daresalama wala siyo wadhaifu.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Mnawaandama sana wanaume wa daresalama lakini wako fit kinyama tu. Tatizo ni wachoyo(selfish)
Njaa haina hodari lakini siyo sawa mtoto kumbembeleza mzazi hata kama wote hawajala.Mzazi atajikaza tu.
Sasa mwanaume unapoenda msibani hatutegemei ukafarijiwe,umeenda kufariji. Ni kweli una uchungu ! lakini ndiyo kuliko wafiwa?hapo unataka ubebwe na wafiwa kweli!!
Ukiongozana na mwanamke,anategemea umpiganie na kumlinda.
Hii tabia ya kujihurumia sana inaliangamiza taifa.
Mwanamume hupambana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
m

Mkuu hapo usimsahau MC pili pilirojo anayelia amepiga magoti na kumwaga machozi akifanya engagement na mkewe mtarajiwa ....
 
Write your reply...msijitete badilikeni wakuu Leo kwenye pitapita zangu kweny huu mji nikiwa mgeni kutoka ndandalo kwenye vichochoro vijumba unakuta dume zima limevaa khanga limefunga Kama rubega hivi mnakwama wapi
 
Back
Top Bottom