Wanaume wa Daslam

Boys of daslama bwana wana mambo sana.
 
Itafahamika tu, We ngoja tupige kazi, tuvute Mtonyo Mtaleta Majina yote.
Hata iweje Cash speaks, Huwezi kunifananisha Mwanaume wa Dar es Salaam na wa Mikoani, Never Ever.
Kwa Siku me naacha shilingi ngapi kwa ajili ya usafiri wa watoto, kwa ajili ya Matumizi ya Nyumbani, kwa ajili ya Matumizi ya gari( iwe unadrive au unatumia daladala), then umfananishe Mwanaume wa Dsm na Mikoani. Hapana fikirieni upya.
Mkoani hamna challenge sana kama Dar es salaam. So we are men of Dar es Salaam, Still we Make it happen...Piga Mtonyo Majina wataleta wenyewe. Saka Hela
 
 
Ndo nyie mnaoshinda saloni mnajichubua mfano hemed PhD na ray hao ni baadhi ya wavulana wa dar slum pia mnasifa ya umbea na Nina uhakika hizi team wema,team kiba,team diamond ofisi zake kuu zipo dar wenyekiti wake wakiwa ni wavulana mnawahaibisha sana wanaume wa dar nyie wavulana wa dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…