Wanaume wa Daslam

Wanaume wa Daslam

Boys of daslama bwana wana mambo sana.
 
Itafahamika tu, We ngoja tupige kazi, tuvute Mtonyo Mtaleta Majina yote.
Hata iweje Cash speaks, Huwezi kunifananisha Mwanaume wa Dar es Salaam na wa Mikoani, Never Ever.
Kwa Siku me naacha shilingi ngapi kwa ajili ya usafiri wa watoto, kwa ajili ya Matumizi ya Nyumbani, kwa ajili ya Matumizi ya gari( iwe unadrive au unatumia daladala), then umfananishe Mwanaume wa Dsm na Mikoani. Hapana fikirieni upya.
Mkoani hamna challenge sana kama Dar es salaam. So we are men of Dar es Salaam, Still we Make it happen...Piga Mtonyo Majina wataleta wenyewe. Saka Hela
 
Habari zenu.
Katika siku hizi za usoni karibia kila Kona utakutana na sentensi "wanaume wa Daslam" [emoji33] Jiji la daslam ambalo vijana wengi wanatamani wangezaliwa au hata kuzamia daslam tumekuwa tukipigwa vita sana karibia kila Kona na vijana wa mikoani (bush). Nadhani mnatambua fikra kwamba vijana wa Daslam tukija mikoani huko dada zenu/girlfriend zenu hawatulii nyumban. Maisha yapo huku daslam ndiy maana mnakuja kuzamia. Kumbukeni pia vipasel vingi toka mikoani vinatelekezwa pale ubungo na kuwa chakula cha stand nzima. Punguzeni wivu vijana wa mikoani na heshima iwepo. Mjini akili mikoani nguvu
 
Ndo nyie mnaoshinda saloni mnajichubua mfano hemed PhD na ray hao ni baadhi ya wavulana wa dar slum pia mnasifa ya umbea na Nina uhakika hizi team wema,team kiba,team diamond ofisi zake kuu zipo dar wenyekiti wake wakiwa ni wavulana mnawahaibisha sana wanaume wa dar nyie wavulana wa dar
 
Back
Top Bottom