QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 698
Umri wako mdogo kama le mutuz...? maana wanaume wa dar 35 yrs upo kwa mama nyumbani na bado unaonekana kinda.Umri wangu mdogo sana ukilinganisha na niliyoandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri wako mdogo kama le mutuz...? maana wanaume wa dar 35 yrs upo kwa mama nyumbani na bado unaonekana kinda.Umri wangu mdogo sana ukilinganisha na niliyoandika
Yeah sure na 30 bado nipo Kwa mama nadekaUmri wako mdogo kama le mutuz...? maana wanaume wa dar 35 yrs upo kwa mama nyumbani na bado unaonekana kinda.
hiyo ndo lifestyle ya 'wanaume' wa dar ninayoizungumzia.Yeah sure na 30 bado nipo Kwa mama nadeka
Surehiyo ndo lifestyle ya 'wanaume' wa dar ninayoizungumzia.
Si madogoBoys of daslama bwana wana mambo sana.
ahahaha,heee!Inaamanisha wanaume wanaoshinda saloon za kike!
ahaa kumbe,ok mkuu me nilikuwa sielewi wxactly ni watu gani walikuwa wanazungumziwa,teh teh!Wenye makazi dar mkuu
Habari zenu.
Katika siku hizi za usoni karibia kila Kona utakutana na sentensi "wanaume wa Daslam" [emoji33] Jiji la daslam ambalo vijana wengi wanatamani wangezaliwa au hata kuzamia daslam tumekuwa tukipigwa vita sana karibia kila Kona na vijana wa mikoani (bush). Nadhani mnatambua fikra kwamba vijana wa Daslam tukija mikoani huko dada zenu/girlfriend zenu hawatulii nyumban. Maisha yapo huku daslam ndiy maana mnakuja kuzamia. Kumbukeni pia vipasel vingi toka mikoani vinatelekezwa pale ubungo na kuwa chakula cha stand nzima. Punguzeni wivu vijana wa mikoani na heshima iwepo. Mjini akili mikoani nguvu