Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Dada zangu huko kweny vikao vya feminist angalau mkumbushane hapa kweny kukomaaa usitoe penzi mpaka angalau utambulishwe ...How come you become a tool of pleasure watu wanapiga na kusepa .
jaribu kuwa na msimamo wanaune serious wapo ila inategemea na wewe umejiweka vipi.
Tambua :ukiolewa tu automatically unakuwa kama umestirika na pia unapata heshima ila ukiwa muhuni wa kuzaa hovyo kama bata hata uwe na watoto mia unaleta image mbaya kweny jamii yako hata mikosi.
kwa nn mikosi? mnapooana ni kwamba ni jambo linapendezea Mungu hata mizimu yetu pia mnakuwa kama wanadamu mliokamilika na baraka tele lile tendo la kukutana linabadilika kutoka kweny jina "uzinifu" mpaka kuwa "Tendo la ndoa " ambalo ni halali kabisa na haki yenu.