Wanaume wa humu mna dharau sana

Nani kakuonesha tabia "mubaya" kadadaa!?Tema mate nimchape.
 
Merry umekidhi vigezo..unadimpoz,huna kitambi,mrefu saiz ya kati,sio mnene sio mwembamba,unakichuguu nyuma,nywele mpaka mgongoni,black beauty,mguu wa bia,kiuno cha nyigu,macho kama unaniita, shingo ya twiga iliyo na pingili pingili..shule ipo kichwani.. kama huna hzo sifa acha wakuradharau kama unazo nitafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…